Staa
wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka
kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa ,
Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo:

“ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Aling’aka wolper
0 comments:
Post a Comment